Ruka hadi maelezo ya bidhaa
1 ya 1

Uhakiki wa taarifa

Uhakiki wa taarifa

Bei ya kawaida 150,000.00 TZS
Bei ya kawaida Bei ya mauzo 150,000.00 TZS
Inauzwa Zimeisha

Mascani.io inakuunganisha na wataalamu wenye uzoefu wa uhakiki wa taarifa kabla ya manunuzi ya viwanja, nyumba, na mali nyingine za kibiashara, ili kuepuka migogoro ya kisheria.

Huduma hii inahusisha uchunguzi wa kina kuhusu umiliki halali wa mali, taarifa za kifedha, na haki za ardhi, kuhakikisha mteja anapata taarifa sahihi na za kuaminika kabla ya kufanya manunuzi.

Kupitia jukwaa letu, mteja ataunganishwa na wataalamu wa kisheria na wataalamu wa ardhi ambao watafanya uhakiki wa taarifa muhimu, kama vile umiliki wa mali, madeni, na migogoro ya kisheria.

Huduma hii inapatikana kwa gharama ya TZS 150,000 kwa lisaa, na malipo hufanyika baada ya ushauri kutolewa.

Pitia maelezo kamili
Kikapu chako cha manunuzi
Aina ya Bidhaa/Huduma Jumla Idadi Bei Jumla
Saa 1
Saa 1
150,000.00 TZS PC
0.00 TZS
150,000.00 TZS PC 0.00 TZS