1
/
ya
1
Ushauri wa teknolojia za nyumbani
Ushauri wa teknolojia za nyumbani
Bei ya kawaida
150,000.00 TZS
Bei ya kawaida
Bei ya mauzo
150,000.00 TZS
Bei ya bidhaa moja
/
kwa
Mascani.io inakuunganisha na wataalamu wa teknolojia za majumbani, wakikusaidia kuanzisha na kusimamia mifumo ya kisasa ya usimamizi wa nyumba smart.
Huduma hii inahusisha ushauri na usaidizi kuhusu ufungaji wa mifumo ya camera za usalama, ac, mifumo ya taa za kiotomatiki, fensi za umeme, na umeme solar.
Mteja atapata kuunganishwa na wataalamu wa teknolojia majumbani ambao watatoa mwongozo kuhusu jinsi ya kuboresha nyumba yako kwa kutumia teknolojia za kisasa.
Huduma hii inapatikana kwa gharama ya TZS 150,000 kwa lisaa, na malipo hufanyika baada ya ushauri kutolewa.
Sambaza
Haikuweza kupakia upatikanaji wa kuchukua
